Picha baada ya mkasa Likoni: Gari lililozama likiwa na mama na mtoto laopolewa

Publish date: 2024-07-07

Waandishi wa habari wamezuiwa kupiga picha ambazo huenda zikaonyesha miili ya mama na mwanawe waliokuwa kwenye gari lililozama baharini eneo la kivuko cha Likoni; gari hilo limeopolewa kutoka majini siku 13 baada ya mkasa.

Msemaji wa serikali anatarajiwa kutoa kauli yake baadaye kufuatia kuopolewa kwa gari na miili.

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdjZoV3fJRmp6KbmJZ6o63AnZhmsZFiuqyt0ppkpaGbpLuqecaaqaJlnJ65qrjOs5immV2htqy11ppkp5ldoq6urYynmGalpKTBsHnLmqapp5yaxKJ6x62kpQ%3D%3D